#SheriaYaLeo (108/366); Usijiingize kwenye migogoro ya wengine.

By | February 16, 2022
#SheriaYaLeo (108/366); Usijiingize kwenye migogoro ya wengine. Mara zote epuka sana kujiingiza kwenye migogoro ya watu wengine.Hilo halina manufaa kwako kwenye malengo yako ya kupata mafanikio makubwa. Watu watajaribu kukuvuta na kukushawishi uwe upande wao, lakini epuka sana ushawishi huo. Onyesha kuwaelewa na kujali, lakini epuka sana kujiingiza kwenye migogoro

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz