MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2605; Kujua Hujui.
2605; Kujua Hujui. Akili ni kujua. Hekima ni kujua hujui. Mwanafalsafa Socrates, mtu anayechukuliwa kuwa na hekima sana kuwahi kuishi hapa duniani aliulizwa swali, kwa nini wewe una hekima sana? Majibu yake; kwa sababu najua sijui. Jibu fupi lakini limebeba maana kubwa sana. Ukiamini unajua, huna tena nafasi ya kujifunza.