#SheriaYaLeo (116/366); Chukua Hatua Kwa Ujasiri.

By | February 24, 2022
#SheriaYaLeo (116/366); Chukua Hatua Kwa Ujasiri. Wengi wetu huwa ni waoga. Tunapenda kuepuka mivutano na migogoro na tunataka kukubalika na wote. Tunaweza kufikiria kufanya jambo la kijasiri, lakini huwa vigumu kutekeleza. Huwa tunaficha woga wetu kwa kujiambia tunajali wengine na hatutaki kuwaumiza. Lakini huo siyo ukweli, tunachohofia zaidi ni wengine

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz