#SheriaYaLeo (117/366); Yafanye mafanikio yako yaonekane siyo ya juhudi kubwa.

By | February 25, 2022
#SheriaYaLeo (117/366); Yafanye mafanikio yako yaonekane siyo ya juhudi kubwa. Sisi binadamu huwa tunavutiwa na mafanikio ya watu wengine. Huwa tunakubali pale mtu anapoweja juhudi na kupata mafanikio makubwa. Lakini inapotokea mtu amepata mafanikio makubwa bila kuonekana akiweka juhudi kubwa, tunamkubali zaidi. Tunaona ana uwezo mkubwa na vipaji vya kipekee.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz