#SheriaYaLeo (119/366); Kupuuza ni kisasi bora.

By | February 27, 2022
#SheriaYaLeo (119/366); Kupuuza ni kisasi bora. Pale tunapofanya makosa, halafu tukatumia nguvu kubwa kutaka kuyaondoa au kuyaficha, huwa tunatengeneza makosa makubwa zaidi. Pale watu wanapotukosea, halafu tukapanga kulipa kisasi, tunafanya mambo kuwa makubwa zaidi. Namna bora ya kushughulika na makosa yako au kulipa kisasi, hasa kwa mambo yanayohusisha wengine ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz