MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2620; Matumaini na uhakika.
2620; Matumaini na uhakika. Watu huona matumaini kama kitu cha kujifurahisha, ambacho siyo uhalisia. Hupenda zaidi uhakika kwenye kila jambo. Lakini ukweli ni kwamba katika hali ya kawaida, kuujua ukweli ni vigumu sana. Hivyo kujipa uhakika kabla hujaujua ukweli ni kujiweka kwenye hatari kubwa, kuwa kikwazo kwako mwenyewe kupiga hatua.