#SheriaYaLeo (125/366); Usidanganyike na mwonekano wa nje.

By | March 5, 2022
#SheriaYaLeo (125/366); Usidanganyike na mwonekano wa nje. Mara nyingi watu wamekuwa wanatengeneza mwonekano fulani wa nje ambao unaficha nia yao halisi. Kwa nje wanaigiza kama wajinga na wasiojua vitu fulani. Lengo lao ni kuwahadaa watu ili wasijue nia zao na kuwa kikwazo kwao. Wewe kuwa makini, usikimbilie kuamini mwonekano wa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz