MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2622; Sababu zipo tayari.
2622; Sababu zipo tayari. Kama unataka kufanya kitu, au hutaki kukifanya, sababu zipo tayari. Kama utafanikiwa au utashindwa, sababu zipo tayari. Yaani sababu tayari ziko mbele yako, ni wewe tu uchague unataka nini, halafu uchukue sababu zinazoendana na kile unachotaka. Kama unataka kweli kupata kitu, sababu za kukitaka tayari unazo.