#SheriaYaLeo (128/366); Wanaotumia udhaifu kukutawala.

By | March 8, 2022
#SheriaYaLeo (128/366); Wanaotumia udhaifu kukutawala. Kuna watu huwa wanatumia udhaifu walionao kukutawala wewe bila ya mwenyewe kujua. Wanakuwa na tabia fulani sugu ambayo inakukwamisha wewe, lakini unapojaribu kuwakabili kwenye tabia hiyo wanajionyesha hawana hatia na wewe ni mtu mbaya na usiyejali. Wanaweza kuwa na tabia sugu ya kuchelewa kila wakati.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz