#SheriaYaLeo (130/366); Tambua mlipuko wa kihisia.

By | March 10, 2022
#SheriaYaLeo (130/366); Tambua mlipuko wa kihisia. Pale mtu anapopata mlipuko mkali wa kihisia dhidi yako, mfano hasira ambayo haiendani na kile ulichofanya, tambua ni mbinu ya kutaka kukutawala kihisia. Wapo watu ambao hutumia mlipuko wa hisia kuibua hisia kali ndani yako ili waweze kukutawala. Wanajua ukishakuwa na hisia kali, huwezi

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz