MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (132/366); Angalia tabia wanazoficha.
#SheriaYaLeo (132/366); Angalia tabia wanazoficha. Katika kuchagua watu wa kushirikiana nao, huwa tunaamini haraka kile ambacho tunasikia na kuona kwao. Tunaamini hivyo ndivyo watu walivyo na yale wanayotuambia na kutuonyesha ndiyo uhalisia wao. Tunachosahau ni kila mtu kuna tabia anazo ambazo huwa hapendi kuziweka wazi. Huenda hata yeye mwenyewe hajui