MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (134/366); Watambue wenye majigambo kabla hawajakunasa.
#SheriaYaLeo (134/366); Watambue wenye majigambo kabla hawajakunasa. Watu wenye majigambo yaliyopitiliza (Narcissists) ni watu ambao ndani yao hawajiamini. Wanatumia majigambo hayo kuficha udhaifu huo mkubwa ulio ndani yao. Watu hao huwa wanajiona wao ni muhimu kuliko watu wengine na hivyo hutaka watu wote wawatii wao. Huwa wanataka kila mtu awe