MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2632; Unachojali zaidi.
2632; Unachojali zaidi. Kila unachokijali zaidi kwenye maisha yako ndiyo kinapata kipaumbele kikubwa kwako. Hicho kitakuwa na nguvu ya kukusukuma ufanye au usifanye mambo muhimu unayopaswa kufanya. Chukua mfano unataka kupata fedha ili kufikia uhuru wa kifedha, lakini pia unataka kila mtu akupende. Kitendo cha kujali kuhusu kupendwa na kila