MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (137/366); Tambua Wanaojificha nyuma ya jadi.
#SheriaYaLeo (137/366); Tambua Wanaojificha nyuma ya jadi. Wapo watu ambao wanataka kuleta mabadiliko ya aina fulani. Lakini wanajua jamii huwa haipo tayari kwa mabadiliko makubwa na ya haraka. Hivyo hujificha nyuma ya jadi, kwa kujionyesha kwamba ni watu ambao wanadumisha jadi. Wanatumia nguvu nyingi kuonekana wanakubali mfumo uliopo na wanaulinda