2635; Usidharau.

By | March 19, 2022
2635; Usidharau. Naweza kusema matatizo yote makubwa tunayokutana nayo kwenye maisha, yanaanzia kwenye dharau. Siyo tu ile dharau ya nje unayoweza kuonyesha kwa vitu au watu, bali zaidi ile dharau ya ndani inayofanya uone kitu siyo muhimu sana au hakina madhara makubwa. Na dharau ipo kwenye mambo yote, mazuri na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz