MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2636; Furahia kupitwa.
2636; Furahia kupitwa. Maamuzi yetu mengi huwa yanasukumwa na hofu ya kupitwa, ambayo kwa kiingereza inaitwa FOMO – Fear Of Missing Out. Fuatilia mfano huu mfupi. Wao; Aisee kuna fursa mpya imekuja, unapanda pesa zako mahali, halafu baada ya miezi mitatu unavuna mara mbili. Wewe; Mh, hakuna kitu cha aina