MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2637; Sahihi na siyo sahihi.
2637; Sahihi na siyo sahihi. Mtu mmoja amewahi kunukuliwa akisema kipimo cha akili iliyokomaa ni kuweza kushikilia kwenye akili mawazo mawili yanayopingana kwa wakati mmoja. Hili ni zoezi gumu mno kwa sababu kwa kawaida binadamu huwa tunapenda sana uhakika. Kukaa na mawazo mawili yanayopingana ni kukosa uhakika. Wengi huona ni