MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2639; Kama watu wangesimamia maneno yao.
2639; Kama watu wangesimamia maneno yao. Leo hii ungekuwa mbali sana. Hebu fikiria kama watu wote waliokuahidi watanunua unachouza, kama kweli wangenunua kama walivyoahidi si ungekuwa mbali sana? Hebu kumbuka wote waliokuambia wapo pamoja na wewe na watapambana kufa na kupona wakiwa upande wako. Kama wangefanya hivyo leo si ungekuwa