#SheriaYaLeo (143/366); Tambua uimara wa tabia za watu.

By | March 23, 2022
#SheriaYaLeo (143/366); Tambua uimara wa tabia za watu. Tabia za watu zina nguvu kubwa kwenye maisha yao. Mtu mwenye tabia dhaifu, itadhoofisha hata sifa nyingine alizonazo. Kwa mfano mtu mwenye akili sana lakini mwenye tabia dhaifu, anaweza kuja na mawazo mzuri sana na hata kufanya kazi bora. Lakini wanapokutana na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz