MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (146/366); Waepuke wapenda drama.
#SheriaYaLeo (146/366); Waepuke wapenda drama. Kuna watu ambao wanatumia drama kama njia ya kuwatawala watu wengine. Watu hawa ni wazuri sana kwenye kutengeneza mambo na kuigiza kwa namna ambayo wataonekana wanaonewa. Wanahakikisha wanawateka wengine kihisia ili wayaamini maigizo yao, wakitafuta zaidi huruma. Watu hawa wana hadithi na mapito mengi ambapo