MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (156/366); Tumia udhaifu wa watu kuamini mwonekano wa nje.
#SheriaYaLeo (156/366); Tumia udhaifu wa watu kuamini mwonekano wa nje. Ni asili yetu binadamu kuamini kwa haraka kile ambacho tunakiona. Huwa hatuna muda wa kuchunguza kwa undani na kujua nia halisi ya mtu. Hivyo unaweza kutumia udhaifu huu kukubalika na wengine na kupata kile unachotaka. Unachopaswa kufanya ni kutengeneza mwonekano