MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2655; Tatizo lako umekosa msimamo.
2655; Tatizo lako umekosa msimamo. Unakumbuka ile siku ambayo ulihudhuria semina, ukajifunza mambo mengi na kutoka na hamasa ya kwenda kuyabadili kabisa maisha yako. Siku chache za mwanzo ukawa wa tofauti kabisa, ukijituma kweli kweli. Lakini baada ya muda ukarudi kwenye mazoea yako. Unakumbuka mara zote ambazo umekuwa unasoma vitabu