MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (159/366); Usidharau akili za wengine.
#SheriaYaLeo (159/366); Usidharau akili za wengine. Huwa hatupendi kukubali kwamba wengine wana akili kuliko sisi. Tunapokutana na watu wenye akili sana, huwa tunatafuta kila njia ya kujitetea ili kuonyesha kwamba hatupo nyuma. Tutasema wana akili za darasani tu. Au wana akili kwa sababu walisoma shule za gharama kubwa. Au wana