MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (160/366); Wavuruge wasijue nia yako halisi.
#SheriaYaLeo (160/366); Wavuruge wasijue nia yako halisi. Kwa chochote unachotaka, kuna watu ambao ni kikwazo kwako, ambao wapo tayari kukuzuia usikipate. Njia bora ya kuwavuka watu hao na kupata kile unachotaka ni kuwavuruga. Unawavuruga kwa kuwahadaa, kuwafanya waone unataka kitu kingine ambacho siyo nia yako halisi. Kwa njia hii huendei