MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2657; Huo mpango wako umekufikisha wapi?
2657; Huo mpango wako umekufikisha wapi? Hatua ya kwanza kabisa katika kupata matokeo makubwa na ya tofauti ni kuwa na mpango tofauti. Kufanya kile ambacho umekuwa unafanya, utaendelea kupata matokeo unayoyapata sasa. Kile ambacho kimekufikisha hapo ulipo sasa, kitakubakisha hapo hapo. Kama unataka kwenda zaidi ya hapo ulipo sasa, lazima