MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo; (168/366); Dhibiti machaguo unayowapa watu.
#SheriaYaLeo; (168/366); Dhibiti machaguo unayowapa watu. Watu huwa wanapenda kuona wana uhuru wa kuchagua mambo yao wenyewe. Lakini machaguo yanapokuwa mengi, huwa inakuwa vigumu kwa mtu kuweza kuchagua. Anajikuta njia panda na kushindwa kuchagua kitu kimoja. Ili kuwasaidia watu kufanya maamuzi na wewe kuweza kupata kile unachotaka, dhibiti machaguo unayowapa