#SheriaYaLeo (173/366); Chukua mamlaka tararibu.

By | April 22, 2022
#SheriaYaLeo (173/366); Chukua mamlaka tararibu. Ukionekana una haraka sana ya kuchukua mamlaka, utaishia kuibua hasira, wivu na chuki. Watu hawatakuwa tayari kukuachia uchukue mamlaka kwa vile unavyotaka. Hivyo njia bora ni kuchukua mamlaka hayo taratibu. Kujipa muda wa kutosha katika kukamilisha hilo. Kwanza wape watu nafasi ya kuona wanafanya kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz