MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2685; Ni rahisi mpaka utakapoanza kufanya.
2685; Ni rahisi mpaka utakapoanza kufanya. Mipango ya kitu chochote kile huwa ni rahisi sana. Na unaweza kujionea wazi kabisa kwamba kila kitu kitakwenda sawa kabisa. Unapoona wengine wanafanya kitu unaona ni rahisi kufanya. Kwamba hata wewe ukiamua unaweza kufanya kama wao. Tena unaweza kuona utafanya zaidi yao. Ni mpaka