MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (191/366); Wafanye wengine wajipendekeze kwako.
#SheriaYaLeo (191/366); Wafanye wengine wajipendekeze kwako. Ili kuwa na ushawishi mkubwa kwa watu, wanatakiwa wawe wanakuhitaji wewe zaidi ya unavyowahitaji wao. Hivyo unapaswa kutengeneza hali itakayowafanya wengine wakuhitaji zaidi na hilo litawafanya wajipendekeze kwako. Njia ya kwanza ya kufanya hivyo ni kuwa na uhuru kamili na wenye nguvu. Kutokutegemea chochote