MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2688; Kipi unachokumbuka?
2688; Kipi unachokumbuka? Unapokuwa unahangaika na mambo yanayopita, kama habari na mitandao ya kijamii, unaweza kuona kama ni muhimu sana na usipofanya hivyo utapitwa na mengi. Lakini huko ni kujidanganya, Ni kukubali akili yako ikuhadae kwa uvivu ambao akili yako unao. Inajaribu kuepuka mambo magumu na muhimu na kuhangaika na