MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2690; Tatizo siyo kujua.
2690; Tatizo siyo kujua. Watu wengi huhangaika sana na kutafuta siri za mafanikio. Huwa wanadhani kuna kitu kimefichwa ambacho wakishakijua tu basi mafanikio yatakuwa rahisi kwao. Lakini huo siyo ukweli, Ni njia tu ya watu kujificha na kuukwepa ukweli ambao upo dhahiri. Karibu kila mtu anayetaka kufanikiwa, tayari anajua nini