MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
Ongea Na Kocha; Sell Like Crazy, Basil Danghalo.
Habari Mwanamafanikio? Karibu kwenye kipindi cha ONGEA NA KOCHA ambapo kuna mambo mawili makubwa. Jambo la kwanza ni mjadala wa pamoja wa kitabu cha SELL LIKE CRAZY. Hiki ni kitabu kilichoandikwa na Sabry Subi ambacho kinatupa maarifa ya kuweza kujenga mfumo wa masoko na mauzo ambao unatuwezesha kuleta wateja wengi