MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (209/366); Jua wakati sahihi wa kuwa jasiri.
#SheriaYaLeo (209/366); Jua wakati sahihi wa kuwa jasiri. Hakuna mtu yeyote anayezaliwa akiwa muoga. Woga ni tabia ambayo tunajifunza kwenye maisha ili kujilinda. Woga unatuaminisha kwamba kama hatutafanya yale yanayofanya tuonekane, kama hatutajaribu mapya na makubwa, basi hatuwezi kusumbuliwa na matokeo ya kufanikiwa au kushindwa. Huwa tunaamini kama tukiwa wema