MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2706; Kupanga na kufanya.
2706; Kupanga na kufanya. Kwa ujumla, mchakato mzima wa mafanikio unategemea sana kwenye kupanga na kufanya. Ni kitu rahisi lakini chenye nguvu kubwa sana ya kuamua mtu afanikiwe au ashindwe. Watu wengi huwa wanapanga lakini hawafanyi. Kupanga ni rahisi, kufanya siyo. Hivyo watu wana mipango mingi, lakini hawaitekelezi. Watu wengine