MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2707; Mtu wa ajabu.
2707; Mtu wa ajabu. Jamii huwa inapenda kumwelewa kila mtu kwenye yale anayoyafanya. Pale jamii inaposhindwa kumwelewa mtu, huwa inamchukulia ni mtu wa ajabu kabisa. Inamwona ni mtu asiyefaa au aliyepotoka na ambaye hawezi kufanikiwa. Anapopitia magumu ambayo kila mtu anayapitia, yeye ataonekana anayapitia hayo kwa sababu ya utofauti wake.