MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (211/366); Kumshawishi anayetaka kukushawishi.
#SheriaYaLeo (211/366); Kumshawishi anayetaka kukushawishi. Kuna wakati unajikuta kwenye hali ambapo unahitaji kumshawishi mtu ambaye na yeye pia anataka kukushawishi. Hapo unapaswa kutumia mbinu ya kumwonyesha kitu au tabia ya kutaka kushawishika naye. Yaani unamrahisishia zoezi lake la kukushawishi wewe, kitu ambacho kinakuwa rahisi kwako kumshawishi yeye pia. Unapomnasa mtu