MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (212/366); Raha ya maigizo.
#SheriaYaLeo (212/366); Raha ya maigizo. Huwa tunayaangalia maigizo na kuyafurahia japo tunajua siyo kitu cha kweli. Mavazi ya waigizaji na jinsi mtiririko unavyokwenda huwa inakamata sana hisia na umakini wetu. Japo ni maigizo, huwa tunachukulia ni uhalisia. Hivyo pia ndivyo ilivyo kwenye maisha halisi. Ili kuweza kuwashawishi watu, unapaswa kuwa