MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (225/366); Tumia hisia zao.
#SheriaYaLeo (225/366); Tumia hisia zao. Kama unataka kumshawishi mtu abadilike, usipingane na hisia zake, bali zitumie hizo kuchochea mabadiliko. Kama mtu ni mkorofi na mtukutu, badala ya kuyapinga hayo, mweke kwenye hali ya kutaka kubadilika ili kuonyesha ukorofi na utukutu wake. Kwa kuyafanya mabadiliko yaendane na kile ambacho tayari mtu