MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2722; Wanadanganya, lakini tunawakubali.
2722; Wanadanganya, lakini tunawakubali. Umewahi kuangalia maigizo au tamthilia mbalimbali. Na katika hizo, kuna ambazo zilinasa hisia zako, ukajikuta ukifurahi na kucheka au kuhuzunika na kulia. Ulijua kabisa kila kilichokuwa kinaonyeshwa kwenye maigizo au tamthilia siyo ukweli. Kama ni mtu amekufa kwenye igizo au tamthilia unajua kabisa kwamba hajafa kweli.