MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2728; Ni wewe umewafundisha.
2728; Ni wewe umewafundisha. Kwa namna yoyote ile ambayo watu wanakuchukulia, ni wewe mwenyewe umewafundisha wakuchukulie hivyo. Umewapa ruhusa kwamba wanaweza kukuchukulia kwa namna wanavyokuchukulia. Kama watu wanakudharau maana yake umewafundisha wakudharau. Kuna namna umejiweka ambayo inawafanya watu waone ni sawa kukudharau. Kadhalika kama watu wanakuheshimu maana yake umewafundisha hivyo.