MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2736; Kujitoa nusu haisaidii.
2736; Kujitoa nusu haisaidii. Maandiko ya dini yanaeleza wazi kwamba ni bora kuwa moto au baridi, lakini siyo kuwa vuguvugu. Kuwa vugu vugu hakukuweki kwenye upande wowote wa uhakika hivyo hunufaiki kwa namna yoyote ile. Utanufaika zaidi kwa kujitoa kweli kweli kwenye upande mmoja, kuliko kujaribu kuwa kwenye kila upande.