MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2746; Kutamani, kupanga na kufanya.
2746; Kutamani, kupanga na kufanya. Matamanio ni bure kabisa, kila mtu huwa anatamani kuwa na vitu vizuri. Ni matamanio ya kila binadamu kupata mafanikio makubwa. Kupanga ni rahisi, watu wengi huwa wanaweka mipango mizuri kabisa ya kupata kile wanachotamani. Wanakuwa wanajua nini wanapaswa kufanya ili kupata wanachotaka. Tatizo kubwa lipo