MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
#SheriaYaLeo (258/366); Usitaharuki.
#SheriaYaLeo (258/366); Usitaharuki. Huwa ni kawaida yetu sisi binadamu kutaharuki pale tunapokutana na mambo makubwa na ya tofauti na tulivyozoea. Lakini kutaharuki huko huwa hakuna msaada wowote, zaidi ya kutufanya tuwe dhaifu zaidi na kuwa kwenye hali ya kushindwa. Jambo lolote linalotokea, hata liwe kubwa na la tofauti kiasi gani,