MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2762; Kujiandaa kuishi.
2762; Kujiandaa kuishi. Watu wengi huwa wanayamaliza maisha yao hapa duniani kabla hata hawajaanza kuishi. Kila wakati wanakuwa wanajiandaa kuanza kuishi. Hatimaye mauti yanawafika kabla hata hawajawa tayari kuishi. Ukifuatilia maisha ya wengi, na huenda hata ya kwako binafsi, hilo lipo dhahiri kabisa. Wakati mtu akiwa mtoto, anaenda shule kujiandaa