MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2771; NA, NA, NA.
2771; NA, NA, NA. Ugumu au ufahisi wa kufanya jambo lolote unategemea sana na wingi wa NA kwenye mambo unayoyahitaji. Kadiri NA zinavyokuwa nyingi, ndivyo inavyokuwa vigumu zaidi kufanya kitu. Kwa mfano ukijiambia ukifika stendi ya basi utapanda basi linalokwenda Arusha, hapo unakuwa na uwanja mpana wa kuchagua na hivyo