MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2787; Jipe uhakika mwenyewe.
2787; Jipe uhakika mwenyewe. Kitu kimoja kinachotukwamisha sana kwenye maisha ni kukosa uhakika. Hilo ndiyo limekuwa linatuzuia kufanya maamuzi na hata tukifanya maamuzi tunashindwa kuyasimamia. Kwa mfano nikikupa wateja 10 ambao kwa uhakika watanunua kwako, ila wanachosubiri ni wewe uwatembelee, utafanya kila namna kuwatembelea. Hutakuwa na sababu yoyote ya kukuzuia,