MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2794; Ni muda.
2794; Ni muda. Warren Buffett amewahi kusema huwezi kupata mtoto ndani ya mwezi mmoja kwa kuigawa mimba moja kwa wanawake 9. Wote tunajua mimba huwa inachukua miezi tisa kwa mtoto kukamilika na kuzaliwa. Sasa miezi hiyo tisa ni ya kujikusanya pamoja. Huwezi kuigawa kwa wanawake 9 kama njia ya mkato