MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2798; Mazoezi na vita.
2798; Mazoezi na vita. Kabla ya wanajeshi kwenda vitani huwa wanafanya mazoezi makali. Mazoezi ambayo yanajaribu kuiga uhalisia wa yale watakayokutana nayo kwenye vita. Kabla wachezaji hawajaingia kwenye mashindano, huwa wanafanya mazoezi makali. Mazoezi hayo hugusa kila hali ambayo watakutana nayo kwenye mashindano. Mazoezi yana nguvu ya kumjengea mtu uzoefu