MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2814; Acha kujikwamisha.
2814; Acha kujikwamisha. Ni jambo la kushangaza, lakini ndivyo uhalisia ulivyo, umekuwa unajikwamisha sana wewe mwenyewe. Pale mambo yanapokwenda vizuri kabisa kwa upande wako, unayaingilia na kuyavuruga. Unaharibu kile ambacho tayari kilishakuwa cha uhakika kwa kushindwa tu kuwa na utulivu na msimamo. Kutaka kwako vitu vipya na vinavyosisimua kunakufanya uharibu