MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2816; Kuhimili mikiki mikiki.
2816; Kuhimili mikiki mikiki. Huwa kuna kichekesho ambapo mtu anasema kila akipata ufunguo wa mafanikio, anakuta kitasa kimebadilishwa. Hivyo inabidi aanze kutafuta tena ufunguo mwingine. Na akiupata tu, vitasa vinabadilishwa tena. Sijui kama umeipata picha hapo, maana huo ndiyo uhalisia kamili wa maisha yetu. Tunaweza kupambana sana ili kupata kitu